Katika nchi
zinazoendelea (nchi maskini) vijana wanakumbwa na changamoto nyingi, ikiwemo
ukosefu wa ajira. Ni jukumu la kila mmoja wetu kuhakikisha anawasaidia vijana
hawa wasiokuwa na hatia, kutimiza ndoto na malengo yao.
In developing countries
young people face many challenges, unemployment inclusively. Wouldn’t it be
better if we help them survive and thrive?
Everybody Newz strongly
calls upon the world to help these innocent young people lift themselves out of
unemployment catastrophe and extreme poverty.