Everybody Newz ni blog
ambayo imedhamiria kutoa elimu kwa kila mmoja popote pale alipo, na ndio maana
halisi ya jina 'Everybody Newz'.
Mbali na kutoa elimu
ambalo ndilo dhumuni kuu la blog hii, blog hii pia inajukumu la kuhabarisha na
kuburudisha.
Blog hii inatumia lugha
kuu mbili, ambazo ni Kiswahili na Kiingereza (English). Lengo la kutumia lugha
hizi mbili ni kuweza kuwafikia wasomaji wengi zaidi kutoka katika pande zote za
dunia. Karibu!
Everybody Newz is a
blog that aims to educate everyone, every person, each person, each one, each
and every one, all, the general public, the whole world, people everywhere; and
that is the real meaning of 'Everybody Newz'.
Apart from providing
education which is the main purpose of this blog, this blog also has the
responsibility of giving information and entertainment to the readers.