Everybody Newz inatoa
elimu juu ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), elimu juu ya kumlinda mtoto
(Children Protection), elimu juu ya masuala yote yanayowahusu vijana, elimu
kuhusu masuala mbalimbali ya darasani na nje ya darasa, na inahamasisha watu
kuchukua hatua mbalimbali dhidi ya mambo na vitendo vyote vinavyohatarisha
usalama na amani ya dunia, ili kuiwezesha dunia kuwa sehemu salama ya watu wote
kuishi.
Everybody Newz offers
education on Sustainable Development Goals (SDGs), Children Protection,
education on all youth issues, education on various class and outside issues
(formal and informal education), and encourages people to take action against all
practices that threaten the security and peace of the world, to enable the
world to be a safe place for all living.