Kuwa sehemu ya
mabadiliko kwa kuonesha mchango wako katika kutatua changamoto mbalimbali hapa
duniani. Unaweza kuonesha mchango wako kwa kuwa sehemu ya watu wanaohabarisha
umma juu ya mambo mbalimbali yanayotokea duniani. Fanya hivyo kwa kuandika juu
ya jambo lolote ambalo ungependa Umma uweze kulifahamu. Andika kisha tutumie
Everybody Newz nasi tutachapisha kwenye blog hii. Tutumie kwenye email yetu ya
everybodynewz@gmail.com
Be part of the change
by showing your contribution on solving various challenges in the world. You
can show your contribution by writing something you are passionate about, and
Everybody Newz will publish for you. Send us to our email:
everybodynewz@gmail.com