Mnamo tarehe 25
Septemba 2015, nchi mbalimbali kupitia Umoja wa Mataifa (UN) zilikubaliana juu
ya kutekeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) ambayo miongoni mwake yanalenga
kukomesha umasikini, kutokomeza janga la njaa, kuhakikisha usawa wa jinsia,
Elimu Bora, na kazi zenye staha kwa wote. Miaka inayoyoma na 2030 ambao ndio
mwaka wa kupima mafanikio ya malengo haya unakaribia. Bado kuna watu wameachwa
nyuma katika kutekeleza malengo haya licha ya kauli mbiu ya kuwa ‘Hakuna atakayeachwa nyuma’. Everybody
Newz imedhamiria kuukumbusha umma juu ya utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo
Endelevu (SDGs).
On 25th September,
2015, countries adopted a set of goals to end poverty, protect the planet and
ensure prosperity for all as part of a new sustainable development agenda. Each
goal has specific targets to be achieved over the next 15 years, that is to
say, by 2030. Unfortunately, in some places in Africa still there are some
people who know nothing about the goals. In order to ensure that NO ONE IS LEFT
BEHIND, Everybody Newz tells everyone about them as well as reminding on the
implementation.